life is Short
JF-Expert Member
- Apr 1, 2013
- 4,741
- 3,037
Kitu gani Sasa kinatupelekea kuingiza ukabila ?
Kitu gani Sasa kinatupelekea kuingiza ukabila ?
Ukabila unatokana na baadhi ya makabila kujiona bora kuliko mengineKitu gani Sasa kinatupelekea kuingiza ukabila ?
Mengine mambo ya aina hiyo tunayapuza na kuangalia mbele..Ukabila unatokana na baadhi ya makabila kujiona bora kuliko mengine
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbele kwa mbele ni slogan waliyotumia ccm kipindi cha nyuma kutokana na wimbo waoMengine mambo ya aina hiyo tunayapuza na kuangalia mbele..
Wao walitimiza ahadi na malengo yao wakashinda!!Mbele kwa mbele ni slogan waliyotumia ccm kipindi cha nyuma kutokana na wimbo wao
Wakashinda na sasa wanatusomesha nambaWao walitimiza ahadi na malengo yao wakashinda!!
... namba eeeeeeh, sisiemu mbele kwa mbeleeee, waacheni waandamaneeeWakashinda na sasa wanatusomesha namba
Waandamane kuunga kuweka jiji la Dar Safi... namba eeeeeeh, sisiemu mbele kwa mbeleeee, waacheni waandamaneee
Safi kama jiji la ParisWaandamane kuunga kuweka jiji la Dar Safi
Paris Kuna vivutivo vya kitalii Hadi inababaisha !!
Inababaisha hasa kweny garamaParis Kuna vivutivo vya kitalii Hadi inababaisha !!
Juu mno wachache wanazihimili kama kupanda mlima na kufika kileleni.Gharama za ujenzi wa nyumba zimekuwa juu ..
Kileleni ufikapo kwa juhudi ya elimu ya sayari !!Juu mno wachache wanazihimili kama kupanda mlima na kufika kileleni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sayari yetu kwa sasa inaenda kasi sanaKileleni ufikapo kwa juhudi ya elimu ya sayari !!
Sana sana inachangiwa na teknolojia
Mchina mchango wake ni kunukuu !!
Mchina mchango wake ni kunukuu !!
Ishu nzito kwenye sakata la Simba na refa wakimataifa!!Kunukuu jarida la citizen kutafsiri ni ishu