The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 8,011
- 11,429
Tamu zaidi ni nyama ya kunguru na kisamvu
kisamvu na kunguru wapi na wapi labda na jongooTamu zaidi ni nyama ya kunguru na kisamvu
Usiku sio wakati mzuri wa kuzururaJogoo wa saiv anawika saa 4 usiku
Usalama utaupata kama una helaKuzurura huku kwetu hakunaga shida kwani Kuna usalama..
Hela unapozidikuwa nayo ndo usalama unapunguaUsalama utaupata kama una hela
Unapungua umri na uhai wa kuishia Duniani kila ukicha...!!
Ukicha tunawaza maisha na Siku inaishaje bila kitu mfukoniUnapungua umri na uhai wa kuishia Duniani kila ukicha...!!
Pakavu kwa wote NI harusi ya wote!!
Mtumiaji wa hivyo hawezi kuoa
Kubwa kubwa nikatie.... Utamsikia mtoto akisisitiza amwombapo mwenzie amkatie kituGhorofa ni jengo lenye gharama kubwa
Vijana wengi tatizo siku hizi wanapenda miteremko ndo maana kuna ongezeko kubwa la marioo.Sheria ya mahari ni kikwazo kwa vijana