bbc
JF-Expert Member
- Jan 18, 2016
- 3,836
- 4,152
Wakimataifa, hapa ni maneno mawili, wa na kimataifaIshu nzito kwenye sakata la Simba na refa wakimataifa!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakimataifa, hapa ni maneno mawili, wa na kimataifaIshu nzito kwenye sakata la Simba na refa wakimataifa!!
Kimataifa upo uwezekano !!
Chini tupo wengi tunawaSubiri waliyo sakafuni
Sakafuni huwezi kulala kama hujazoea mbavu zinaumaChini tupo wengi tunawaSubiri waliyo sakafuni
Zinauma habari zilizosambaa juu ajali..
Ajali zingine huwa n manmadeZinauma habari zilizosambaa juu ajali..
Mkuu zenyewe zikitokea utajua tu maana huwa zinatokea katka mazingira ya kutatanisha
Kutatanishwa kutaletwa na ushirikinaMkuu zenyewe zikitokea utajua tu maana huwa zinatokea katka mazingira ya kutatanisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushirikina huu ni janga la kujitakia..Kutatanishwa kutaletwa na ushirikina
Kujitakia kutendwa katika mapenzi nao ni upoyoyo.Ushirikina huu ni janga la kujitakia..
Upoyoyo siyo dili NI kutojitambua..
Kutojitambua kwa mabinti kunaleta mimba za utotoniUpoyoyo siyo dili NI kutojitambua..
Nje nje tu ndiyo mambo hadharani...
Hadharani hapafanywi mambo ya siriNje nje tu ndiyo mambo hadharani...
Siri yako ipo kisima...
Kisima kile chenye tunazamaga huwa na majani majani ni kitamu sanaSiri yako ipo kisima...