safuher
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 12,314
- 18,146
Msaada wa nini wakati tunapiga vita ushoga?
Kichaa na Mwendawazimu wanahitaji tiba na misaada...
Kichaa na Mwendawazimu wanahitaji tiba na misaada...
Ushoga tuwarudishie wale waasisi !!Msaada wa nini wakati tunapiga vita ushoga?
waasisi wa muungano wameshakufa tayariUshoga tuwarudishie wale waasisi !!
Tayari ule ugonjwa sugu umedhibitiwa !!waasisi wa muungano wameshakufa tayari
umedhibitiwa na madaktari bingwa ingawa walisahau mikasi tumboni mwa bahadhi ya wagonjwa.Tayari ule ugonjwa sugu umedhibitiwa !!
Wagonjwa wa TB wanatibiwa bure kila hospitali ama?umedhibitiwa na madaktari bingwa ingawa walisahau mikasi tumboni mwa bahadhi ya wagonjwa.
Ama kweli aloshiba hamjui mwenye njaa..
Somalia ni nchi lenye mwambao mrefu ktk bara la Afrika..Njaa inaua sana somalia
Sent from my iPhone using JamiiForums
Afrika mashariki au Afrika ya katiSomalia ni nchi lenye mwambao mrefu ktk bara la Afrika..
Kati yangu na mwenzangu Kuna jirani !!
Jinani ndio ndugu yako so ishi nae vuzuri, mtunze.Kati yangu na mwenzangu Kuna jirani !!
Pia mie huwajali wanaJF kadri ya thamani zao...
Pia uwatunze na Yatima
yatima wanahitaji kutunzwaPia uwatunze na Yatima
Hutunzwa mcheza kwao !!yatima wanahitaji kutunzwa
Harusi siku hizi Inna gharama...
Gharama mno unaweza jenga hadi ghorofa....Harusi siku hizi Inna gharama...