ABJ
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 4,922
- 13,817
inapendeza machoni mwa watu ingawa ilinigharimu kiasi kikubwa cha fedha
Fedha fedheha usipokuwa makini...inapendeza machoni mwa watu ingawa ilinigharimu kiasi kikubwa cha fedha
Fedha fedheha usipokuwa makini...
Maisha yanazid kutubana aisee
13SEPTEMBER
Aisee usikate tamaa japo magumu mengi
Tu ni kwamba haina muendelezoUchague kunyoa au kusuka yote sawa tu
Muendelezo hapo kwa Hapo bila tija..
Tija za upinzani zinategemea wananchi wake kuunga mkono harakati zaoMuendelezo hapo kwa Hapo bila tija..
Zao la muhogo linastahimili sana kwenye ukameTija za upinzani zinategemea wananchi wake kuunga mkono harakati zao
Ukame wa fikra hufanya watu wasiendelee
Wasiendelee kuleta vurugu watapata tabu..Ukame wa fikra hufanya watu wasiendelee
Tabu nipate mimi mtafutaji lakini raha waje wapate watumiaji!Wasiendelee kuleta vurugu watapata tabu..
Kawakumbuka kawapa kitu/vitu gani?Watumiaji wa gongo naona raisi kawakumbuka
vitu gani vinasababisha Tanzania kuwa maskin wakat ina utajiri mkubwa sana