12 Marook
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 441
- 331
gun ni bundukigani inatofauti ipi na gun?
"World war Z"
Bunduki ni hatari si masiharagun ni bunduki
Masihara ni wewe kuogopa.bunduki wakati ziauzwa madukani huko UlayaBunduki ni hatari si masihara
Masihara sio issue hasa katika mapenziBunduki ni hatari si masihara
halisi ni uhalisia wa jamboSafi ikiwa yatatumika kwa ajili ya matumizi halisi
Sent using Jamii Forums mobile app
Jambo jema huenea taratib kuliko jambo bayahalisi ni uhalisia wa jambo
baya lolote humfika yule anayewawazia na kuwaombea wenzake mabaya
Mabaya mengi huwa laanabaya lolote humfika yule anayewawazia na kuwaombea wenzake mabaya
laana ikimfika mtu huwa kama kichaa
Kichaa na Mwendawazimu wanahitaji tiba na misaada...laana ikimfika mtu huwa kama kichaa