life is Short
JF-Expert Member
- Apr 1, 2013
- 4,741
- 3,037
Usiamke bila kula daku ya kesho
Usiamke bila kula daku ya kesho
Kesho itaanzia saa 7;00Usiamke bila kula daku ya kesho
7;00 sio muda Wa kuamka Ni uvivuKesho itaanzia saa 7;00
°•°Faith •Hope •Charity•°•
Uvivu ni ugonjwa wa kizazi cha sasa ktk kujenga taifa letu hasa la kesho!
Kesho tuijenge sisi? Mbona sisi hatujajengewa na walotutangulia, acha watajenga wenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulaya ni bara kama mabara mengine
Taratibu za kisheria zizingatiwe bila ubishi..
Kibiashara ni Lazima pawepo na ushindi na ujanja !!
Ujanja ujanja katika biashara haufai, unawaumiza watejaKibiashara ni Lazima pawepo na ushindi na ujanja !!
Wateja wanunua bidhaa feki bila kutambua..