True Believer
JF-Expert Member
- Mar 6, 2019
- 588
- 900
Sana tu mkuu... Mwanzisha uzi atangaze mshind tafadharQonkii master huu uzi unaongoza kuwa na post nyingi sana
°•°Faith •Hope •Charity•°•
Sana tu mkuu... Mwanzisha uzi atangaze mshind tafadharQonkii master huu uzi unaongoza kuwa na post nyingi sana
Tu basi?tafadhari sana usifanye makosa kama niliyofanya juzi we endelea kuchangia tu
Mmh nini? toa ufafanuzi
Mkuu wa kitu gani?
Kitu gani? Chochote kile chenye na uwezo wa kusimamiwa.Mkuu wa kitu gani?
kuiba ni kujitabiria kifo