life is Short
JF-Expert Member
- Apr 1, 2013
- 4,741
- 3,037
Naona Simba kaibuka na ushindi
Naona Simba kaibuka na ushindi
Ushindi ambao tulikua tunauhitaji kwa kua umetupeleka robo fainaliNaona Simba kaibuka na ushindi
Fainali tutafika na ubingwa tutanyanyua..Ushindi ambao tulikua tunauhitaji kwa kua umetupeleka robo fainali
Sent using Jamii Forums mobile app
tutanyanyua kweli tukiendelea na hii spirit ya upambanajiFainali tutafika na ubingwa tutanyanyua..
Upambanaji utafuata Amri za Kocha na bila kubweteka
Upambanaji utafuata Amri za Kocha na bila kubweteka
Kubweteka ni mwiko kwa sasaUpambanaji utafuata Amri za Kocha na bila kubweteka
Kubweteka si wakati wake huu, ni wakati wa kupambana kutafuta rizikiUpambanaji utafuata Amri za Kocha na bila kubweteka
Sasa ni kujipanga na kuandaa mbinu na tactic mpya..
Riziki ya mnyonge ni nguvu zake mwenyeweKubweteka si wakati wake huu, ni wakati wa kupambana kutafuta riziki
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpya kwa sasa ni ushindi wa simba tuSasa ni kujipanga na kuandaa mbinu na tactic mpya..
Tupo ktk position nzuri kimatifa na sifa kea nchi nzima..
Nzima na mzima ni sawa au ni maneno tofauti?Tupo ktk position nzuri kimatifa na sifa kea nchi nzima..
tofauti ipi iliyopo miongoni mwetu ?sisi ni wamoja familia moja ya jf, ni ndugu
Ndugu ni watu wanaotokana na damu mojatofauti ipi iliyopo miongoni mwetu ?sisi ni wamoja familia moja ya jf, ni ndugu
moja ni namba ya pili kutoka sifuriNdugu ni watu wanaotokana na damu moja
°•°Faith •Hope •Charity•°•
sifuri kwa kiingereza ni zeromoja ni namba ya pili kutoka sifuri
Vyake na vyetu ni tofauti.... Ila wakuu huu uzi QonkiiZero IQ ni member mwenzetu huku jf. nae ana vituko vyake
Qonkii master huu uzi unaongoza kuwa na post nyingi sanaVyake na vyetu ni tofauti.... Ila wakuu huu uzi Qonkii
°•°Faith •Hope •Charity•°•