Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,832
- 37,437
Usingizi wa gesti mtamu kuliko wa homeUzi unaninyima usingizi
Usingizi wa gesti mtamu kuliko wa homeUzi unaninyima usingizi
Home alone eeeUsingizi wa gesti mtamu kuliko wa home
Eee embe kwa kingereza mangoHome alone eee
Tutabanana hapahapa
Hapahapa nakesha leoTutabanana hapahapa
Leo ni AlhamisiHapahapa nakesha leo
Alhamisi ya leo kulikuwa na baridi kali sana aiseeLeo ni Alhamisi
Aisee yule manzi ni mkali babaakeAlhamisi ya leo kulikuwa na baridi kali sana aisee
Babaake Hashimu anakaa MorogoroAisee yule manzi ni mkali babaake
Morogoro mji kasoro bahariBabaake Hashimu anakaa Morogoro
Bahari ya Hindi imepita uani kwetuMorogoro mji kasoro bahari
Kwetu tunafuga bata na kangaBahari ya Hindi imepita uani kwetu
Kanga wana nyama laini ila hawaishindi ya bataKwetu tunafuga bata na kanga
Bata wa bibi amevaa shangaKanga wana nyama laini ila hawaishindi ya bata
Shanga za kimasai zina rangi nzuriBata wa bibi amevaa shanga
Nzuri ndefu, fupi inakeraShanga za kimasai zina rangi nzuri
Inakera eee...Nzuri ndefu, fupi inakera
Mwema na kwako piaInakera eee...
Haya usiku mwema
Pia usisahau kusaliMwema na kwako pia