Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,835
- 37,442
Milele na milele sitakaa kunywa pombe ya kirobaKimepauka ndio, ulitaka kiwe kipya milele?
Milele na milele sitakaa kunywa pombe ya kirobaKimepauka ndio, ulitaka kiwe kipya milele?
Kiroba kilichohifadhiwa dagaa, kimetobolewa na panyaMilele na milele sitakaa kunywa pombe ya kiroba
Panya wa huku kwetu, wanakula mpaka visiginoKiroba kilichohifadhiwa dagaa, kimetobolewa na panya
Visigino vya kuku vimefunikwa na manyonyaPanya wa huku kwetu, wanakula mpaka visigino
Manyonya ya paka wetu yamepangika kimstariVisigino vya kuku vimefunikwa na manyonya
Kimstari cha katikati ya makalio kinawashaManyonya ya paka wetu yamepangika kimstari
Kinawasha mpaka unashindwa kukaa?Kimstari cha katikati ya makalio kinawasha
Kukaa Sinza au Kinondoni sio ujanjaKinawasha mpaka unashindwa kukaa?
Ujanja wa Sungura kiboko yake fisiKukaa Sinza au Kinondoni sio ujanja
Fisi wa bibi ana meno meusiUjanja wa Sungura kiboko yake fisi
Meusi na meupe zote rangiFisi wa bibi ana meno meusi
Rangi za kuchorea maua zinauzwa kwa Mangi dukaniMeusi na meupe zote rangi
Dukani na shambani ndiko naelekeza nguvu zangu hukoRangi za kuchorea maua zinauzwa kwa Mangi dukani
Huko nyuma mnafanya nini?Dukani na shambani ndiko naelekeza nguvu zangu huko
Nini wewe?Huko nyuma mnafanya nini?
Fisi kwa tamaa alifia njiaPanda...Ujanja wa Sungura kiboko yake fisi
Panda na ushuke, leo lazima uje kulala kwetu mlimani
Mlimani sitapata usingiziPanda na ushuke, leo lazima uje kulala kwetu mlimani
Usingizi sina ndio maana niko kwenye huu uziMlimani sitapata usingizi
Uzi unaninyima usingiziUsingizi sina ndio maana niko kwenye huu uzi