Doctizo Mtengwa
JF-Expert Member
- Feb 16, 2019
- 841
- 1,540
Karibuni sana kesho kutakuwa na matangazo ya mshindiiDili za mwendokasi zitaibuka hivi karibuni....
Sent using Jamii Forums mobile app
Karibuni sana kesho kutakuwa na matangazo ya mshindiiDili za mwendokasi zitaibuka hivi karibuni....
Mshindi mshindo wa kukata kwa shka...!!
Shoka bila mpini ni bure Karisa...Mshindi mshindo wa kukata kwa shka...!!
KARISA 😂😂😂😂 AMA KABISA
Kabisa Sina la kuongeza Bali nakutakia kheri !!
Kheri yashinda utumwaKabisa Sina la kuongeza Bali nakutakia kheri !!
Utumwa Mambo leo
Haitorudi kamwe ata jua liwake usiku21 Feb 2019 imefikia tamati ya siku yake haitorudi
Tujipumzishe?
Yako yanakushinda yangu utayaweza?Tujipumzishe?
Na game hili tamu unataka ucheze peke yako?
Utayaweza kwani nayabeba mgongoni?Yako yanakushinda yangu utayaweza?
Mgongoni kutamu hasa upate mbeleko ya kitenge.Utayaweza kwani nayabeba mgongoni?
Kitenge cha mama Jamila kimepaukaMgongoni kutamu hasa upate mbeleko ya kitenge.
Kimepauka ndio, ulitaka kiwe kipya milele?Kitenge cha mama Jamila kimepauka