bbc
JF-Expert Member
- Jan 18, 2016
- 3,836
- 4,152
Shida haziishi mpaka siku ya mwishoRafiki wa kweli ni yule ukiwa na shida
Shida haziishi mpaka siku ya mwishoRafiki wa kweli ni yule ukiwa na shida
Mwisho wa matatizo ya mja ni pale atakapochukuliwa na mola mleziShida haziishi mpaka siku ya mwisho
Mlezi siku zote ndo mzazi wakoMwisho wa matatizo ya mja ni pale atakachukuliwa na mola mlezi
thread pendwa hapa jf ni ile kucomment chochote upate likewako watu tofauti ktk hii thread
Like ni tofauti na lovethread pendwa hapa jf ni ile kucomment chochote upate like
love na like zinatofautianaje?Like ni tofauti na love
Zinatofautianaje tena, nadhani hata hisia ni tofauti pialove na like zinatofautianaje?
pia love huwa kwa kile unachokipenda ila like huwa hata kwa usichokipendaZinatofautianaje tena, nadhani hata hisia ni tofauti pia
Usichokipenda huwa kinapatikana kirahisi zaidi kuliko unachopendapia love huwa kwa kile unachokipenda ila like huwa hata kwa usichokipenda
Unachokipenda ww kinampenda mwingineUsichokipenda huwa kinapatikana kirahisi zaidi kuliko unachopenda
Mwingine haweza kuwa sawasawa na mimiUnachokipenda ww kinampenda mwingine
Mwingine ili apendwe lazima mwingine atendweUnachokipenda ww kinampenda mwingine
Atendwe mjinga ili zoba apendweMwingine ili apendwe lazima mwingine atendwe
Apendwe nae achangamke siyo azidi kukaa kindeziAtendwe mjinga ili zoba apendwe
kindezi yaani kukaa kiboyaApendwe nae achangamke siyo azidi kukaa kindezi
Kiboya yan maana yake ni kama kukaa kizezeta flan hv yan kidomo zegekindezi yaani kukaa kiboya
Zege ni mchanganyiko wa kokoto,cement,mchanga na majiKiboya yan maana yake ni kama kukaa kizezeta flan hv yan kidomo zege
Maji na soda, jamaa akachagua soda etiZege ni mchanganyiko wa kokoto,cement,mchanga na maji