bbc
JF-Expert Member
- Jan 18, 2016
- 3,836
- 4,152
Be ukiongeza e unapata mwitikio wa akina mamaMashuleni hali si shwari ndio maana wanafunzi wanachaguliwa kuingia sekondari wakati hawajui a wala be
Be ukiongeza e unapata mwitikio wa akina mamaMashuleni hali si shwari ndio maana wanafunzi wanachaguliwa kuingia sekondari wakati hawajui a wala be
Mama n mama yatupasa tuwaheshimu sanaBe ukiongeza e unapata mwitikio wa akina mama
mama mzazi ndio mtu ambae sijawahi kupata kujua upendo wake kwanguBe ukiongeza e unapata mwitikio wa akina mama
Kwangu pakavu kwako pakoje?mama mzazi ndio mtu ambae sijawahi kupata kujua upendo wake kwangu
pakoje ni pazuri angalau rakaa mbili zinapatikana kwa sikuKwangu pakavu kwako pakoje?
Siku si nyingi hata kwangu hari itakuwa shwari yan murwaaahpakoje ni pazuri angalau rakaa mbili zinapatikana kwa siku
Murwaaah ndo lugha gani hiyo au kikwenu?Siku si nyingi hata kwangu hari itakuwa shwari yan murwaaah
Kikwenu au kikwetu wote tutafika salamaMurwaaah ndo lugha gani hiyo au kikwenu?
Salama tena saliminKikwenu au kikwetu wote tutafika salama
salimin wote tutafikaSalama tena salimin
Tutafika wapi na huu uzi mbona hauishisalimin wote tutafika
Hauishi ki vipi mbona mi naona unaishiTutafika wapi na huu uzi mbona hauishi
Hauishi ki vipi mbona mi naona unaishi
kurudi kwangu humu ni mpaka keshoUnaisha na kurudi
Kesho ya jana haitakiwi kufanana na kesho ya leokurudi kwangu humu ni mpaka kesho
Leo mshindi nimepatikanaKesho ya jana haitakiwi kufanana na kesho ya leo
Nimepatikana maeneo ya GymkhanaLeo mshindi nimepatikana
Gymkhana ulikuwa unafanya nini?Nimepatikana maeneo ya Gymkhana
Nini? Hujui kama kuna club paleGymkhana ulikuwa unafanya nini?
Pale kati patamu sanaNini? Hujui kama kuna club pale