Technologiest
JF-Expert Member
- Feb 8, 2017
- 3,712
- 4,026
Akilini mwangu ninawaza mambo kedekedemadogo lkn makubwa kama ukiyaweka akilini



Akilini mwangu ninawaza mambo kedekedemadogo lkn makubwa kama ukiyaweka akilini



Kedekede yaani lukukiAkilini mwangu ninawaza mambo kedekede![]()
kedekede ni msamiati wenye maana ganiAkilini mwangu ninawaza mambo kedekede![]()
kedekede ni msamiati wenye maana gani
redio ni chombo kinachotoa taarifa bila pichaGani inatumika kuunga nyaya kwenye vifaa vya umeme kama simu, televisheni na redio
Unapopeleka hawahitaji picha bali vyetiPicha za passport zifanane na unapo peleka
Pesa tamu
Haimezeki Wala haitafunikiTamu ndo maana haimezeki
Uteme tu manake Ni chungu mnoHaitafuniki vizuri bora uteme tu
Uteme tu manake Ni chungu mno
Sana Sana watahitaji pesa nankumpa vitisho tu kwa bilionea wetu kijanaMno ni kiwango cha hali ya juu sana
Kichwani,tumboni,kifuani zote Ni sehemu muhimu katika mwili wa kiumbe haiKijana mtanashati ni yule aliye smart kichwani
hai ni wilaya inayopatikana mkoa wa kilimanjaroKichwani,tumboni,kifuani zote Ni sehemu muhimu katika mwili wa kiumbe hai
Kilimanjaro ndiyo mkoa upatikanako mlima Kilimanjarohai ni wilaya inayopatikana mkoa wa kilimanjaro
Kilimanjaro ndio mlima mrefu kuliko yote barani AfricaKilimanjaro ndiyo mkoa upatikanako mlima Kilimanjaro