bbc
JF-Expert Member
- Jan 18, 2016
- 3,836
- 4,152
Kizungu bwana kitusumbua wabongo eti "we will meet therethere"!Waganga wajadi au wa kizungu?
Kizungu bwana kitusumbua wabongo eti "we will meet therethere"!Waganga wajadi au wa kizungu?
Therethere ndio kulekule au palepale?Kizungu bwana kitusumbua wabongo eti "we will meet therethere"!
Palepale nilipokuoneshaTherethere ndio kulekule au palepale?
Hapa si kiswahili wala kiingereza kilicho sawaTherethere ndio kulekule au palepale?
Nilipokuonesha hukwenda, nilikutafuta sana pasi mafanikioPalepale nilipokuonesha
Mafanikio yapo kwa kila mmoja anayependa kazi yakeNilipokuonesha hukwenda, nilikutafuta sana pasi mafanikio
Kazi yake Mola haina makosa, R.I.P Joshua MwakasegeMafanikio yapo kwa kila mmoja anayependa kazi yake
Mwakasege ndo yupi tena? Mwifwa ulikuwa wapi?Kazi yake Mola haina makosa, R.I.P Joshua Mwakasege
Wapi alikopelekwa MO baada ya kutekwa?Mwakasege ndo yupi tena? Mwifwa ulikuwa wapi?
Kutekwa ni kitendo kiogopeshiiWapi alikopelekwa MO baada ya kutekwa?
Kiogopeshi sana kwa sababu kuna kung'olewa kucha na meno hukoKutekwa ni kitendo kiogopeshii
Huko tena usiende, usijeitwa kusaidia bure!Kiogopeshi sana kwa sababu kuna kung'olewa kucha na meno huko
Kusaidia bure tena? Asante kwa kunitoa tongotongo sirudii kosaHuko tena usiende, usijeitwa kusaidia bure!
Kosa kujifanya wajua, watataka uwajuze, halafu wewe Thad uko macho saa hizi, unalinda?Kusaidia bure tena? Asante kwa kunitoa tongotongo sirudii kosa
Unalinda? Hilo sio swali bali pigia mstari karibu JF USIKU WA MANANE tulinde woteKosa kujifanya wajua, watataka uwajuze, halafu wewe Thad uko macho saa hizi, unalinda?
Unalinda? Hilo sio swali bali pigia mstari karibu JF USIKU WA MANANE tulinde wote
♂️
♂️Yangu mawazo, niende nisiende, ngoja niende JF usiku wa manane.Usiondoke, naogopa kubaki hapa peke yangu
Yote ipi?Milele yote