Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,652
Afya yangu ni njema sijui yako
Ukifungwa nitapa maradhi ya uraibu,
U-mzima huko uliko wa Afya.
Ukifungwa nitapa maradhi ya uraibu,
U-mzima huko uliko wa Afya.
Yako kama yangu Aahali ya hali ni Afya,Afya njema ni raha.Afya yangu ni njema sijui yako
Raha jipe mwenyewe usisubiri kupewaYako kama yangu Aahali ya hali ni Afya,Afya njema ni raha.
Kupewa raha na jimama ni zaidi ya kumung'unya halua na tende.Raha jipe mwenyewe usisubiri kupewa
Nalog off
Tende ukichanganya na maziwa nasikia inaongeza raha zaidiKupewa raha na jimama ni zaidi ya kumung'unya halua na tende.
Off au on ni kiswahili hiki auTende ukichanganya na maziwa nasikia inaongeza raha zaidi
Nalog off
Au ni kingereza hichoOff au on ni kiswahili hiki au
Au ni kingereza hicho
Wenzio wanakitamani halafu we unawabania!Hicho ulinacho si vizuri kunyima wenzio
Unawabania hawataki, basi wapanulieWenzio wanakitamani halafu we unawabania!
Nalog off
wapanulie waingizeUnawabania hawataki, basi wapanulie
Waingize nini tena?wapanulie waingize
Kiu ni gazeti LA udaku lililotamba sana enxi zakeTena kwa mitindo huru ili kukata kiu
enzi zake pamoja na gazeti la alasiriKiu ni gazeti LA udaku lililotamba sana enxi zake
Nalog off
Alasiri ni mda mzuri wa matembezienzi zake pamoja na gazeti la alasiri
matembezi ni mojawapo ya mazoeziAlasiri ni mda mzuri wa matembezi
Mazoezi huimarisha afya na kuzuia magonjwa madogo madogomatembezi ni mojawapo ya mazoezi
madogo lkn makubwa kama ukiyaweka akiliniMazoezi huimarisha afya na kuzuia magonjwa madogo madogo