Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,652
Jukwaa letu hili nalipenda limenikutanisha na marafiki wapya, nilikumiss zaidi bestUmasikini unaousema haupo ila nilikumic kukuona ktk jukwaa letu
Jukwaa letu hili nalipenda limenikutanisha na marafiki wapya, nilikumiss zaidi bestUmasikini unaousema haupo ila nilikumic kukuona ktk jukwaa letu
Best wako mwingine ni jukwaa lipi humu jfJukwaa letu hili nalipenda limenikutanisha na marafiki wapya, nilikumiss zaidi best
Jf usiku wa manane ndiko kunakonilea, nikiwa pale najisikia niko nyumbaniBest wako mwingine ni jukwaa lipi humu jf
Nyumbani pale ila lindo huliwezi usingizi unakuchukuaga mapemaJf usiku wa manane ndiko kunakonilea, nikiwa pale najisikia niko nyumbani
Mapema siku moja moja ila wewe hatujawahi kukutana paleNyumbani pale ila lindo huliwezi usingizi unakuchukuaga mapema
Pale naingiaga mida mibovu sana nakutanaga na SHIMBA WA BUYENZEMapema siku moja moja ila wewe hatujawahi kukutana pale
Pale naingiaga mida mibovu sana nakutanaga na SHIMBA WA BUYENZE
Tukiondoka tunaenda jukwaa la likeSHIMBA WA BUYENZE mzee wa mapichapicha, ila nyie sio walinzi mnakujaga alfajiri tukiondoka![]()
Jukwaa la like limeshanishindaTukiondoka tunaenda jukwaa la like
Limeshanishinda na mimi ila napitaga kuchungulia siku moja mojaJukwaa la like limeshanishinda
Siku mojamoja na mimi nitakuwa napitaLimeshanishinda na mimi ila napitaga kuchungulia siku moja moja
Napita anga za mji kasoro bahari nikiwa kwenye ungo!Siku mojamoja na mimi nitakuwa napita
Ungo ni usafiri wa haraka kuliko mweweNapita anga za mji kasoro bahari nikiwa kwenye ungo!
mwewe na ungo mapema yote hii, mtadunguliwa nyieNapita anga za mji kasoro bahari nikiwa kwenye ungo!
Nyie waoga tu, safari ni safari haijali mdamwewe na ungo mapema yote hii, mtadunguliwa nyie
Muda ni muhimu katika safari, ndio maana mabasi hayaruhusiwi kusafiri usikuNyie waoga tu, safari ni safari haijali mda
Kusafiri usiku ni HatariMuda ni muhimu katika safari, ndio maana mabasi hayaruhusiwi kusafiri usiku
Hatari ya usiku kwa wasafiri ni pamoja na kutekwaKusafiri usiku ni Hatari
Kutekwa hata mchana inawezekanaHatari ya usiku kwa wasafiri ni pamoja na kutekwa
Inawezekana but haitakuwa rahisiKutekwa hata mchana inawezekana