Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Mvivu na asileChitemo alikua mvivu
Mvivu na asileChitemo alikua mvivu
Mvivu sana hata kusoma kitabu hataki cha Mamba na kimaChitemo alikua mvivu
Asile na asioge piaMvivu na asile
Kima huwa nawaogopa kuliko sokweMvivu sana hata kusoma kitabu hataki cha Mamba na kima
Sokwe anapatikana kwa wingi hifadhi ya ngombe-Kigoma.Kima huwa nawaogopa kuliko sokwe
Kigoma nasikiaga ni mbaliSokwe anapatikana kwa wingi hifadhi ya ngombe-Kigoma.
Mbali kutoka jiji la mzizima(dar) 1258 km mpaka ujiji.Kigoma nasikiaga ni mbali
Ujiji sijui ndio huko wanachimba chmviMbali kutoka jiji la mzizima(dar) 1258 km mpaka ujiji.
Chumvi sana wanachimba hata diamond nasikia huwa anachimba sana chumvi kwa wapendwa.Ujiji sijui ndio huko wanachimba chmvi
Lini uzi huu utafika mwisho?Wapendwa huu uzi utafika mwisho lini?
Lini uzi huu utafika mwisho?
Mwisho wa ubaya ni aibuLini uzi huu utafika mwisho?
Aibu yao wenyeweMwisho wa ubaya ni aibu
Wenyewe akina nan?Aibu yao wenyewe
Nani unaemuuliza?Wenyewe akina nan?
Unaemuuliza keshatimka hayupo.Nani unaemuuliza?
Hayupo na wala hatotokea mtu kushinda huu uziUnaemuuliza keshatimka hayupo.
Mwanzo siku zote mgumuUzi huu jaman mrefu!! nlijua me ndo mshindi mwanzo