Greg50
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 1,979
- 2,494
Sentensi tata zinachoshaGani imekuwa ngumu katika muendelezo wa sentensi
Sentensi tata zinachoshaGani imekuwa ngumu katika muendelezo wa sentensi
Zinachosha kwa sababu hazina mvuto.Sentensi tata zinachosha
Mvuto wa sura yenye kuwekwa vipodozi ni bandiaZinachosha kwa sababu hazina mvuto.
Zinachosha kwa sababu hazina mvuto.
Ujinga ni kulala peke yako usiku kama wa leo.binafsi mimi sipendi ujinga
Leo ni Sikh nzuri mnoUjinga ni kulala peke yako usiku kama wa leo.
Mno sanaLeo ni Sikh nzuri mno
Nayoyoma kwenda lalaUtaaribi kwakuwa hauko makini nayo.
Yako yangu, yangu yangu pia.Chako ni chako cha mwenzio sio Mali yako
Pia kucheka na kulia zote keleleYako yangu, yangu yangu pia.
Kelele za mpangaji hazimnyimi usingizi mwenye nyumba.Pia kucheka na kulia zote kelele
Nyumba iliyojengwa kwa mkopo wa benki.Kelele za mpangaji hazimnyimi usingizi mwenye nyumba.
Benki nyingi sasa hivi biashara ni ngumu sana!Nyumba iliyojengwa kwa mkopo wa benki.
Sana-sana zinaendelea kufungwa,usawa unakabaBenki nyingi sasa hivi biashara ni ngumu sana!