kan_nevada
Member
- Oct 19, 2014
- 37
- 40
Nimechoka kuufunga "mkanda"
Mkanda upi mkuu?
Nimechoka kuufunga "mkanda"
Mkuu, si unaijua hali ilivyo sasa!Mkanda upi mkuu?
Sasa ndio nimefikaMkuu, si unaijua hali ilivyo sasa!
Nimefika nyumbani baada ya mihangaiko ya hapa na paleSasa ndio nimefika
Pale sio pahara pazuriNimefika nyumbani baada ya mihangaiko ya hapa na pale
Pazuri lazima upaandae wewe mwenyewePale sio pahara pazuri
Wewe mwenyewe miongoni mwaoPazuri lazima upaandae wewe mwenyewe
Mwaomboleza nini mbona siwaelewiWewe mwenyewe miongoni mwao
Siwaelewi hata mie kwanini Uzi wanataka uishe?Mwaomboleza nini mbona siwaelewi
Uishe kabla sijashinda!! Sikubaliani kabisa na hilo jambo lisilokuwaSiwaelewi hata mie kwanini Uzi wanataka uishe?
Uishe kabla sijashinda!! Sikubaliani kabisa na hilo jambo lisilokuwa
Mwisho wake ni aibu ombo lisikutokee hilo hutasahau abadaniLisilokuwa na ukweli kwasababu huwezi kuwa wa mwisho.
Mwisho upo tukaze butiLisilokuwa na ukweli kwasababu huwezi kuwa wa mwisho.
Mwisho ni jeneza ndio mahala pawakovu kwa sizonje.Lisilokuwa na ukweli kwasababu huwezi kuwa wa mwisho.
Mwisho utafikia punde tuu, maana namba inazidi punguaLisilokuwa na ukweli kwasababu huwezi kuwa wa mwisho.
Nini usichokijua kwenye huu uzi?Abadani ndo nini
Sisi tangu tuanze huu mchezo tumekumbana na mengi sanapungua wewe tubaki sisi
Abadani ndo nini