Greg50
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 1,979
- 2,494
Hazikuwepo rasmi ila zilikuepo.Chekechea enzi zetu hazikuwepo!
Hazikuwepo rasmi ila zilikuepo.Chekechea enzi zetu hazikuwepo!
Zilikuwepo kimya kimyaHazikuwepo rasmi ila zilikuepo.
Kimya kimya ni wimbo wa J MoZilikuwepo kimya kimya
Yako avatar ni nzuritafadhali me sio size yako
Yako avatar ni nzuri
Masharobaro?Nzuri kwakuwa kaweka masharobaro?
🙁🙁; unacheka mazuri hayo? mwemzio nimeachika tena siku ya wapendanao duniani kweli
Kweli kabisa sijaitia neno kwa muda mrefu kwenye huu mtanange🙁🙁; unacheka mazuri hayo? mwemzio nimeachika tena siku ya wapendanao duniani kweli
Mtanange umegoma kumalizika.Kweli kabisa sijaitia neno kwa muda mrefu kwenye huu mtanange
Kumalizika mbona mapema mno, labda wadau waache kuchangiaMtanange umegoma kumalizika.
Kumalizika hauwezi maana wewe ni miongoni mwa wanaokwamisha kutokana na utoro wako humu jukwaaniMtanange umegoma kumalizika.
Kuchangia nyie hakuwachoshi eeKumalizika mbona mapema mno, labda wadau waache kuchangia
Kuchangia nyie hakuwachoshi ee
Nimechoka kuufunga "mkanda"Ee nimechoka