Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,718
- 126,564
GSM ina maanisha Goli Sita Mechi mojaSiisikii kabisa,baada ya kuitwa GSM
GSM ina maanisha Goli Sita Mechi mojaSiisikii kabisa,baada ya kuitwa GSM
Moja ya vitu nisivyopenda ni ngono uzembeGSM ina maanisha Goli Sita Mechi moja
Uzembe wako ndio utakukosesha utamu hivi hiviMoja ya vitu nisivyopenda ni ngono uzembe
Hivi hivi Odinga ameapishwa!!!Uzembe wako ndio utakukosesha utamu hivi hivi
Ameapishwa na nani?Hivi hivi Odinga ameapishwa!!!
Nani wa kumuuliza swali hilo?Ameapishwa na nani?
Hilo huliwezi, tafuta saizi yakoNani wa kumuuliza swali hilo?
Yako mengi yakuuliza,hilo la kimbeaHilo huliwezi, tafuta saizi yako
Kimbea mbea ndio kitu gani?Yako mengi yakuuliza,hilo la kimbea
Gani na zipi ndio nyaraka za serikali?Kimbea mbea ndio kitu gani?
Serikali ipi unayoizungumziaGani na zipi ndio nyaraka za serikali?
Unayoizungumzia ni serikali ya Nchi ya Kichaa na Mfalme JuhaSerikali ipi unayoizungumzia
****nimechoka sana naenda kulalaUnayoizungumzia ni serikali ya Nchi ya Kichaa na Mfalme ****
Kulala ni sehemu Katika maisha,usiku mwema.****nimechoka sana naenda kulala
Mwema ni baba yake SaidiKulala ni sehemu Katika maisha,usiku mwema.
Saidi ni mtoto wa ngapi wa mzee Kubenea?Mwema ni baba yake Saidi
Kubenea simjui na yeye hanijui, nadhani ni ID fake hiyoSaidi ni mtoto wa ngapi wa mzee Kubenea?
Wakamatwe wote wenye vyeti fakeHiyo id ina maana amevuja sheria ya nchi akamatwe