wakutafuta
JF-Expert Member
- May 25, 2017
- 239
- 211
Kwenda Arusha nirahisi sanaArusha tena, natamani sana kwenda
Kwenda Arusha nirahisi sanaArusha tena, natamani sana kwenda
Sana ukiwa umejiandaa vizuri hutojutia safari yakoKwenda Arusha nirahisi sana
Yako safari itakuwa njema sanaaa.....Sana ukiwa umejiandaa vizuri hutojutia safari yako
Sanaaa....!!Yako safari itakuwa njema sanaaa.....
Muafaka upi tenaSanaaa....!!
Kila nikifikiria kuhusu jambo fulani nashindwa kufikia muafaka
Tena sikutarajia kama utafika hukuMuafaka upi tena
Huku kambi ya nyumbani lazima nifikeTena sikutarajia kama utafika huku
Nifike kule uliponiambiaHuku kambi ya nyumbani lazima nifike
Uliponiambia nimeenda sijakukutaNifike kule uliponiambia
Sijakukuta maana umeogopa kuniona mimiUliponiambia nimeenda sijakukuta
Mimi siogopi kabisaSijakukuta maana umeogopa kuniona mimi
Kabisa najua kama hauogopi ila hutaki kuniambia ukweliMimi siogopi kabisa
Ukweli nilikuambia siku ileKabisa najua kama hauogopi ila hutaki kuniambia ukweli
Ile uliyomwagiza cuzoo mbona hajailetaUkweli nilikuambia siku ile
Hajaileta? ? Akirudi nitamchapaIle uliyomwagiza cuzoo mbona hajaileta
Nitamchapa kwa umakini ili nisimuumizeHajaileta? ? Akirudi nitamchapa
Nisimuumize wala kumjeruhi matibabu siku hizi shida.Nitamchapa kwa umakini ili nisimuumize
Shida imeisha watu wanala raha
Raha ni karaha....Shida imeisha watu wanala raha