Iyegu
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 6,276
- 12,424
tafadhari soma uzi kabla ya kukomentiCcm ilikuwa ya
Nyerere hii ya sasa sijui kirefu chake ni nini.Ile isomeka kama "CHAMA CHA MAPINDUZI"
Kama ukianza toa tafsiri ya neno "MAPINDUZI" Waweza hata usizimalize zote.
Hii ccm ya leo chini ya msema kweli kirefu chake ni nini jamani mnisaidie tafadhari.