best loser
Member
- Oct 8, 2017
- 79
- 83
Wazee wa cku hizi wanapenda misambwanda
Wazee wenzangu njooni mchukue ushindi.Heshima sio upala ni busara wazee
Ushindi ni wetu soteWazee wenzangu njooni mchukue ushindi.
Sote ni ndugu watoto wa baba mmoja..Ushindi ni wetu sote
Mugabe ni rais mwenye umri mkubwa kuliko marais wote duniani.Zimbabwe ni kampuni ya Mugabe..
Sijalala kwa sababu naumwa kichwaAjabu ni kwamba hadi muda huu bado sijalala
Kichwa kidogo ni tatizoSijalala kwa sababu naumwa kichwa
Tatizo gani mnalizungumzia humuKichwa kidogo ni tatizo
Eehee!!nambie mkuu alibakariHumu kuna wengine vichaa eenhe
alibakari uwe unaquote post ndio vizuri zaidiEehee!!nambie mkuu alibakari
Alibakari yuko poa, vp T1990 ELYEehee!!nambie mkuu alibakari
ELY ni jina nililopewa na marehemu Babu yangu.Alibakari yuko poa, vp T1990 ELY
Hizi ni zama za Bashite, its the painful truth.ELY ni jina nililopewa na marehemu Babu yangu.
Mkuu alibakari mie niko poa sana tu pande hizi
Truth shall set you freeHizi ni zama za Bashite, its the painful truth.
Free stress zoneTruth shall set you free