Guantanamo Sobibor
JF-Expert Member
- Aug 20, 2017
- 897
- 1,133
Bara ni kubwa mkuu tufafanulie hiyo sehemu vizuri
Vizuri vyote utavipata ukiwa na pesa ya kutoshaBara ni kubwa mkuu tufafanulie hiyo sehemu vizuri
Mkalale wote. Mbona wafanya faulo?Wadogo mkojoe ,mkalale
Faulo kwani tupo uwanjani hapa?Mkalale wote. Mbona wafanya faulo?
Hapa ni zaidi ya uwanja wa el classicoFaulo kwani tupo uwanjani hapa?
El Classico ilikuwa zamani bhana siku hizi jina tuHapa ni zaidi ya uwanja wa el classico
Zile zile ndiyo lakini ubora wao umeshuka.Jina tu kivp wakati team zilezile
Zile zile ndiyo lakini ubora wao umeshuka.
kulia kwako hakusaidii kurudisha ubora waoUmeshuka huo ubora mpaka natamani kulia
Wao mpaka sasa wameshalala mimi sijui muda gani nitalalakulia kwako hakusaidii kurudisha ubora wao
Nitalala nikipata usingiziWao mpaka sasa wameshalala mimi sijui muda gani nitalala
Usingizi wenyewe haujiNitalala nikipata usingizi
Haujitakii mema, jipe raha mwenyeweUsingizi wenyewe hauji
Mwenyewe utajipaje raha?Haujitakii mema, jipe raha mwenyewe
Raha mstarehe ni sehemu muhimu sana katika maisha ya kila mmoja wetuMwenyewe utajipaje raha?
Wetu sisi au wenu nyinyi?Raha mstarehe ni sehemu muhimu sana katika maisha ya kila mmoja wetu