best loser
Member
- Oct 8, 2017
- 79
- 83
Sana na ukichelewa kuutibu utakufa
Eti unakaa tu kijiweni halafu unasema JPM kaficha hela!Mwezini kuna jua eti
Zilipendwa kwa upande wakoHizi nazo zilipendwa
Zilipendwa zile siku nilizokuwa nakufuata PMHizi nazo zilipendwa
PM wa sasa ni Kassim MajaliwaZilipendwa zile siku nilizokuwa nakufuata PM
Majaliwa ya Mwenyezi Mungu kuiona kesho!PM wa sasa ni Kassim Majaliwa
Kesho naliamsha dudeMajaliwa ya Mwenyezi Mungu kuiona kesho!
Kafulia sabuni inayotoa povu jingiDude wa bongo movie kafulia
Mgumu tena sana kwa asiye mswahiliMsamiati wa kiswahili ni mgumu sana
Mswahili wa Pwani tofauti na Mwahili wa mrima.Mgumu tena sana kwa asiye mswahili
Mrima ndo wapi mkuu? Maana me ni mwenyeji wa zamani maeneo haya.Mswahili wa Pwani tofauti na Mwahili wa mrima.
Haya ni maeneo ya bara, kwa ufupi mrima ni bara.Mrima ndo wapi mkuu? Maana me ni mwenyeji wa zamani maeneo haya.
form1