Yani radicals hilo neno ni zitohainogi kabisa yani
Zito sana na halitamkiki mbele ya kadamnasiYani radicals hilo neno ni zito
Kadamnasi yako ni muhimu sana kuijua ni ya namna gani kabla ya kuihutubiaZito sana na halitamkiki mbele ya kadamnasi
Kuihutubia jamii uongo ni tatizo la kisaikolojiaKadamnasi yako ni muhimu sana kuijua ni ya namna gani kabla ya kuihutubia
Kisaikolojia inabidi ujipange vinginevyo utaumbuka!Kuihutubia jamii uongo ni tatizo la kisaikolojia
Utaumbuka mjini kujikuta fisi ilhali huna menoKisaikolojia inabidi ujipange vinginevyo utaumbuka!
Meno ya kuku nani alishawahi kuyaona?Utaumbuka mjini kujikuta fisi ilhali huna meno
kuyaona haiwezekaniMeno ya kuku nani alishawahi kuyaona?
kuyaona haiwezekani
Haielezeki hii serikali yetukuyaona haiwezekani
Yetu macho tusio na midomoHaielezeki hii serikali yetu
Midomo tunayo kazi haina maana kila tusemacho mwenzetu hataki kusikilizaYetu macho tusio na midomo
Kusikiliza ni njia mojawapo ya kujifunzaMidomo tunayo kazi haina maana kila tusemacho mwenzetu hataki kusikiliza
Kujifunza ni jambo jemaKusikiliza ni njia mojawapo ya kujifunza
Jema moja ni bora kuliko sifuriKujifunza ni jambo jema
Sifuri ndiyo namba ya kwanza kwenye kuhesabuJema moja ni bora kuliko sifuri
Kuhesabu kwa kirumi sijuiSifuri ndiyo namba ya kwanza kwenye kuhesabu