Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,718
- 126,564
Tutabanana hapa hapa mjini, haondoki mtuMkulu anasema hapa kazi tu.
Tutabanana hapa hapa mjini, haondoki mtuMkulu anasema hapa kazi tu.
Hivyo tena emmyta....Yako tabia ni mbaya ujue. Mana uliadimika wee na siku moja nimekuona sehemu nikakusalimia hata kuniitikia. Vibaya hivyo.
Mtu mwoga wa changamoto huyo hafai katika karne hiiTutabanana hapa hapa mjini, haondoki mtu
Mtu wangu wa nguvu ni emmyta hapa mjengoni maana anatambua uwepo wanguTutabanana hapa hapa mjini, haondoki mtu
Karne hii mengi yanashangaza. T 1990 ELY angalia vizuri utaona tena hadi nilikwambia karibu tena jf.Mtu mwoga wa changamoto huyo hafai katika karne hii
Hivyo ndivyo ilivyokua Siku hiyo.Yako tabia ni mbaya ujue. Mana uliadimika wee na siku moja nimekuona sehemu nikakusalimia hata kuniitikia. Vibaya hivyo.
Hii hapa nyumba yake ya urithiMtu mwoga wa changamoto huyo hafai katika karne hii
Urithi wa asili walio tuachia mababu zetu unafaida nyingi sanaHii hapa nyumba yake ya urithi
Urithi wa baba yake hakupewa Alie kwambia hivo kakudanganyaHii hapa nyumba yake ya urithi
Sana mkuu Sergio 5 hasa ukiwa na huruka ya kuuenziUrithi wa asili walio tuachia mababu zetu unafaida nyingi sana
Kuuenzi mwenge wa taifa ni kitu nisicho kipendaSana mkuu Sergio 5 hasa ukiwa na huruka ya kuuenzi
Kipenda moyo dawaKuuenzi mwenge wa taifa ni kitu nisicho kipenda
Dawa ya kupunguza makali ya kuipenda JF ni ipi?Kipenda moyo dawa
Dawa ya moto ni motoKipenda moyo dawa
Kakudanganya kama upo peke yako kwake maana nimemuona usiku wa jana yupo na mwanaume mwingineUrithi wa baba yake hakupewa Alie kwambia hivo kakudanganya
Kupenda alishiliki kwenye mbiyo za mwenge mwaka huoKuuenzi mwenge wa taifa ni kitu nisicho kipenda
Kipenda roho hula nyama iliyopikwaKuuenzi mwenge wa taifa ni kitu nisicho kipenda
Huo ni mwanzo wa mapambano, usikate tamaaKupenda alishiliki kwenye mbiyo za mwenge mwaka huo
Mwingine nae juzi kaniambia Kama ulivonambia weweKakudanganya kama upo peke yako kwake maana nimemuona usiku wa jana yupo na mwanaume mwingine
Iliyopikwa huwa haikinaiKipenda roho hula nyama iliyopikwa