Kinyume chako bbc unachelewa kulala na kuamka pia pole sana. Siku mkuu atakapokuja na kukuta meza yako ofisini haina mtu ndio hapo utakapoisoma namba.Nayo Ijumaa hii nadhani itakuwa nzuri. Nimeamka emmy, wewe unawhi kulala na kuamka pia lakini mimi ni kinyume chako
Namba ninazozipenda ni zile zenye nukta kati.Kinyume chako bbc unachelewa kulala na kuamka pia pole sana. Siku mkuu atakapokuja na kukuta meza yako ofisini haina mtu ndio hapo utakapoisoma namba.
Kati ni neno lenye utataNamba ninazozipenda ni zile zenye nukta kati.
Utata sehemu gani mbona mi nimelielewaKati ni neno lenye utata
Mimi nimelielewa ila sijajua ni kati ya wap inazungumziwaUtata sehemu gani mbona mi nimelielewa
Nimelielewa alomaanisha kelvin marcus, lakini huo ni upwani wenyewe twasema. Ni sawa na kusema Dullah aliwa mali ake ati!!! Ikimaanisha Mazao ya Dulla yanaliwa na mbuzi.Utata sehemu gani mbona mi nimelielewa
Mbuzi nampenda ila nyama yake siipendiNimelielewa alomaanisha kelvin marcus, lakini huo ni upwani wenyewe twasema. Ni sawa na kusema Dullah aliwa mali ake ati!!! Ikimaanisha Mazao ya Dulla yanaliwa na mbuzi.
Siipendi nyama ya mbuzi, wala yeye mwenyewe, pamoja na ndugu yao kondooMbuzi nampenda ila nyama yake siipendi
Kondoo ndio kabisaSiipendi nyama ya mbuzi, wala yeye mwenyewe, pamoja na ndugu yao kondoo
Kondoo hana utamu kama yule mnyama anayefanana na noahSiipendi nyama ya mbuzi, wala yeye mwenyewe, pamoja na ndugu yao kondoo
Kondoo si mjanjajanja kama mbuzi alivyoSiipendi nyama ya mbuzi, wala yeye mwenyewe, pamoja na ndugu yao kondoo
Alivyo kondoo na makamasi yake huwa nasikia kuchefuchefuKondoo si mjanjajanja kama mbuzi alivyo
Anayefanana na noah!!! aah aah! Namheshim daderi wangu, huko sipo. Na eti vipi zile noah zetu, maana nataka nkarenew leseni yanguKondoo hana utamu kama yule mnyama anayefanana na noah
Kichefuchefu kama kile cha wakati wa...Alivyo kondoo na makamasi yake huwa nasikia kuchefuchefu
Wakati wa nini bbc [emoji12] Umeshaanza uchokozi ndio ni wakati huo huoKichefuchefu kama kile cha wakati wa...
Huo huo ndiyo, najua emmy huchelewi kuelewa!Wakati wa nini bbc [emoji12] Umeshaanza uchokozi ndio wakati huo huo
Kuelewa tu niko fasta.Huo huo ndiyo, najua emmy huchelewi kuelewa!
Fasta kweli, lakini mbona mengine huelewi fasta hivyo??[emoji3] [emoji3]Kuelewa tu niko fasta.
Hivyo bbc ndio kusema kuna ambavyo sivielewi kwa haraka.Fasta kweli, lakini mbona mengine huelewi fasta hivyo??[emoji3] [emoji3]