Akamatwe ndio. Daah. Jamani mzado vibaya hivyo sio kwa kuadimika huko. Kwema?
Mmesalimika kutokana na nini?Kwema kabisa Emmyta vipi hapo mtaani kwenu wote mmesalimika?
Mmesalimika kutokana na nini?
Kukikosa kile kinywaji cha Mirinda nyeusi, sitakuwa salamaNini unachokipenda sana kwenye mahusiano na KAMWE hutaki kukikosa?
Kukikosa kile kinywaji cha Mirinda nyeusi, sitakuwa salama
Nyeusi tii!Salama yako mpaka unywe kinywaji hicho? Kinaitwaje Mkuu? Togwa nyeusi!? 🙂
Nyeusi tii!
Hii ni aina gani ya sentensi
Kimiminika ni mojawapo ya hali tatu za majiSentensi ya kutafuta ushindi kwa nguvu zote Mkuu, lakini hujanipa jina la hicho kimiminika.
Kimiminika ni mojawapo ya hali tatu za maji
Duniani tunapita, hatuna budi kuishi kwa kumpendeza MunguMaji ni muhimu sana katika maisha ya kila siku ya mwanadamu hapa duniani.
Duniani tunapita, hatuna budi kuishi kwa kumpendeza Mungu
Sanamu ni haramu kuliabudia, Mungu aliwakataza watu kuliabudu ndio maana aliwatuma manabii kufikisha neno lake kwa wale walikuwa katika ujingaMungu anatupenda kwa mengi tu, hivyo kumshukuru kila uchao ni muhimu sana.
Miguuni ndio kunachafuka ukitembea huku kukiwa na vumbi.Ujinga ni kunawa miguu halafu hauna kandambili miguuni
Vumbi na matope bora nini? wakati wa matope ndiyo kero zaidiMiguuni ndio kunachafuka ukitembea huku kukiwa na vumbi.
Kero zaidi ni matope ila mi navichukia vyote ndio hivyo tu sina jinsi
Njisi tunavyopata taabu wakati wa masika ...naungana nawe kero zaiidi ni matope.Kero zaidi ni matope ila mi navichukia vyote ndio hivyo tu sina jinsi
Matope yakikurukia lazima ukose tashwishwiNjisi tunavyopata taabu wakati wa masika ...naungana nawe kero zaiidi ni matope.
Tashwishwi maana yake ipi kwa kamusi.
Nikikwambia sitakuwa mshindi kama uzi ulivyotamka.. So kushindwa kwako kuelewa ndio kushinda kwangu coz ntakuwa wa mwisho.. SorryTashwishwi maana yake ipi kwa kamusi.