Nilivyo mimi Nina mwili kama wa Elon Musk..wakati mwingine umasikini unatufa tuwe na miili ya kuhuzinisha sana...nachukia umasikini.Mi napenda mwili wa kawaida yani sio mwembamba wala mnene na ndivyo nilivyo.
Umaskini mbaya bwana, wawezapoteza utu wako hivihivi!Nilivyo mimi Nina mwili kama wa Elon Musk..wakati mwingine umasikini unatufa tuwe na miili ya kuhuzinisha sana...nachukia umasikini.
Hivi wewe ndiyo nani hapa mjini?Umaskini mbaya bwana, wawezapoteza utu wako hivihivi!
Mjini hapa bilashaka atakuwa mtu mzito au mdananda au mtu mwenye miji-hela.Hivi wewe ndiyo nani hapa mjini?
Hela siku hizi hakunaMjini hapa bilashaka atakuwa mtu mzito au mdananda au mtu mwenye miji-hela.
Hela ya Tanzania au?Mjini hapa bilashaka atakuwa mtu mzito au mdananda au mtu mwenye miji-hela.
Hivi hivi ni wimbo mzuri sana ulioimbwa na mwanadada mrembo fatuma nyoro.Umaskini mbaya bwana, wawezapoteza utu wako hivihivi!
Hakuna wapi emmy mbona mimi nina jero hapa?Hela siku hizi hakuna
Hapa sina hata hiyo jeroHakuna wapi emmy mbona mimi nina jero hapa?
Jero langu ni la juice ya Miwa ya klareeHapa sina hata hiyo jero
Hapa nilipo nipo juu ya mti nasaka networkHakuna wapi emmy mbona mimi nina jero hapa?
Network ya ubongo au ya mitandao hiiHapa nilipo nipo juu ya mti nasaka network
hii hii ya mitandao yetu aiseeNetwork ya ubongo au ya mitandao hii
Aisee wewe ni nooma jakitoohii hii ya mitandao yetu aisee
Hakuna kwa sababu mianya yote imezibwa na bwana yule wa chato.Hela siku hizi hakuna
Au yuan/faranga.Hela ya Tanzania au?
Jakitoo nasikia ni mwanadada mrembo mwenye mvuto asiye na makuu,,vijana wengi wamechezea za mbavu nyingi au kutoswa.Aisee wewe ni nooma jakitoo
Kutoswa kunauma saana natamani aje jakitoo mwenyewe atueleze ni kwq jinsi gani alivyowatosaJakitoo nasikia ni mwanadada mrembo mwenye mvuto asiye na makuu,,vijana wengi wamechezea za mbavu nyingi au kutoswa.
Alivyowatosa abiria wake baada ya kuona boti inazama ilisikitisha sana!Kutoswa kunauma saana natamani aje jakitoo mwenyewe atueleze ni kwq jinsi gani alivyowatosa
Sana sana sipendelei bughudhaAlivyowatosa abiria wake baada ya kuona boti inazama ilisikitisha sana!