Wa mwisho ndiyo mshindi

Mmeamkaje huko kwenu? Sisi hapa sote wazima wa afya, tuko tayari kwa ajili ya kulisongesha gurudumu la taifa
 
Salama lkn uko kwenu? Sisi tunashkur alhamdulillah kwa kweli maana kuna wengine wako mahospitalini hali zao sio nzuri. Ni jambo la kumshukuru muumba ukiamka mzima
Ukiamka mzima ni heri, na si kwa uweza wetu, ila aliyetuumba. Muhimu ni kuwaombea wale wenzetu wasioamka salama, wagonjwa ili waweze pata nafuu. Wasioamka kabisa basi wapate pumziko la milele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…