Wa mwisho ndiyo mshindi

Uwepo wao, na uwepo wa vitu vingu una maana kwa vitu vingine. Kila kitu kina sababu ya kuwepo kwake.

Kweli kabisa, hasa mie hua nawapenda sana watu ambao ni maumivu kwangu, kwasababu kadri wanavyo niumiza au kunipa hasara ndivyo ambavyo nazidi kugundua njia sahihi au sehemu sahihi, but hua siruhusu amani yangu iguswe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…