Wa mwisho ndiyo mshindi

Sana kwa kweli maana ndiyo nchi yetu, ingawa hawa nyoka wa kijani wanatufanya tukose raha ndani ya ardhi yetu.
Yetu Tz imejaa wasio na maamuzi binafsi kwani walio wengi wanaendeshwa na akili za kuadahiwa na vitu vya bure ndio mana kila wanapofika pale wanachojua ni kuweka alama ya ndio pasi kujali ubora wa wanayempa hiyo kura ya ndio.
 
Ndio akili zao zilivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…