Poa tu
Ban sijawahi kupigwa na siwezi.Nini zaidi ya hizi story hapa?? Zinanifurahisha sana inabd nicheke tu naogopa kuongea nisije kupigwa ban
Poa tu
Njoo PM
Nna mengi sana ya kukwambia..!! Sema hapa si mahala pake...!!
poaNjoo PM
Gani ni utungo uliotungwa kwa nusu kuimbwa nusu kuongea mfano halisi ni ule wa mjomba au sizonjeGadeem ina maana gani?
Sizonje ndiyo au ndiyo wewe unatafuta gari?Sizonje??
Tutututututu passo ukiiendesha km nyingi injini inalia hivyoGar ya bei rahis ata passo poa tu
Nini chanzo cha mauaji huko kibitiInalia hivyo sijui kwa nini!
Kibiti kuna shida nzito ila jeshi letu linafanya kazi kubwa kumaliza tatizoNini chanzo cha mauaji huko kibiti
Tatizo cc wananchi kwa nn hatutoi ushirikiano kwa jeshi letuKibiti kuna shida nzito ila jeshi letu linafanya kazi kubwa kumaliza tatizo
Jeshi letu linapata double problem kwasababu ya kutopata taarifa sahihi za wauajiTatizo cc wananchi kwa nn hatutoi ushirikiano kwa jeshi letu
Wauaji watazidi kupata kiburi ikiwa tutawaficha, ni vyema kuwafichua ili kazi iwe rahc kwa jeshi. Na imeahidiwa 10M kwa yeyote atakaetoa taarifa zitakazo wezesha kupatikanwa kwao.Jeshi letu linapata double problem kwasababu ya kutopata taarifa sahihi za wauaji
Amani ya moyo ni kuwa na furahaKupatikana kwao yanayohitajika ni mazungumzo kati ya wananchi na serikali tena mazungumzo ya amani.