Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 51,106
- 122,492
Kuhadithia unaweza bwana mwifwa sema tu na sisi tupate faida.Nimekosea kuzima data, mimi nikazima bluetooth.
Kilichonipata siwezi kuhadithia
Kuhadithia unaweza bwana mwifwa sema tu na sisi tupate faida.Nimekosea kuzima data, mimi nikazima bluetooth.
Kilichonipata siwezi kuhadithia
faida tunaihitaji nasi wachimbaji wa madiniKuhadithia unaweza bwana mwifwa sema tu na sisi tupate faida.
Madini yapi hayofaida tunaihitaji nasi wachimbaji wa madini
Unakiuka masharti ya mchezoMchana mwema Wana jf

Hayo ya accasia kwani huyajuiMadini yapi hayo
huyajui wakati ata kwenye magazeti ya udaku unayaonaHayo ya accasia kwani huyajui
Mnaonaje huyo jamaa tukimkanya kwa kuvunja kanuni za huu mchezo!MIMI NAONA TUANZISHE MCHEZO WAKUANZISHA VIWANDA, AU MNAONAJE?
Mchezo unaeleweka ila kaamu tu kajitoa ufahamu.Mnaonaje huyo jamaa tukimkanya kwa kuvunja kanuni za huu mchezo!
Ufahamu wa Watanzania unanipa mashakaMchezo unaeleweka ila kaamu tu kajitoa ufahamu.
Heri umeomba msamaha, kumbuka hapa JF kuna uhuru wa kutukuka ambao hata Mkulu anaumizwa kichwa kwa sababu hapa tunamsema bila woga.HAHAHAHAHAH ACHENI ZENU NYIE.... MICHEZO YA UTOTONI MNACHEZAJE UKUBWANI?
ANYWAY, SAMAHANI KWA KUVAMIA WAKUU NA KILA LA HERI
Heri umeomba msamaha, kumbuka hapa JF kuna uhuru wa kutukuka ambao hata Mkulu anaumizwa kichwa kwa sababu hapa tunamsema bila woga.
Hapa jamvini ni ruksa kufanya unachokipenda bila kumkosea mwenzio, jambo ambalo halina faida kwako ni busara kutolifuatilia na ukafuatilia vyenye tija.
HAHAHAHAHAH ACHENI ZENU NYIE.... MICHEZO YA UTOTONI MNACHEZAJE UKUBWANI?
ANYWAY, SAMAHANI KWA KUVAMIA WAKUU NA KILA LA HERI
Do you know?
WAMEZIDI KUA STUPID. NILIANZISHA MPANGO WA KUWAFURUMUSHA WOTE SEMA NIKAKUMBWA NA MARALIA KATIKATI HAPA NIMERUDI KWA KISHINDO. TOKAAAAAAAAAAAAAAAA WOTE NIBAKI MWENYEWE. SHEEEEEEEEEEEEEENZI
WAMEZIDI KUA STUPID. NILIANZISHA MPANGO WA KUWAFURUMUSHA WOTE SEMA NIKAKUMBWA NA MARALIA KATIKATI HAPA NIMERUDI KWA KISHINDO. TOKAAAAAAAAAAAAAAAA WOTE NIBAKI MWENYEWE. SHEEEEEEEEEEEEEENZI