miminimkulimaakachekasana
JF-Expert Member
- May 29, 2017
- 3,263
- 4,741
fake mchele niwa plasticNisiyoijua hainihusu kama behewa fake
fake mchele niwa plasticNisiyoijua hainihusu kama behewa fake
Plastic surgery patient get implanted plastic gabsfake mchele niwa plastic
Nini wewe kisiki kizito angalia kwenye kamusi sanifuGabs Ndo nini
Gabs,- German African Business SummitPlastic surgery patient get implanted plastic gabs
plastic gabs ndo niniPlastic surgery patient get implanted plastic gabs
Nini kinaendelea hapaplastic gabs ndo nini
hapa kazi tuNini kinaendelea hapa
Tulia Akson(PhD) ni miongoni mwa wanawake waliojielimisha katika fani ya sheria hapa nchini.hapa kazi tu
Nchini nipo Mwifwa sijapotea ila mfungo wa Ramadhani umenibanaTulia Akson(PhD) ni miongoni mwa wanawake waliojielimisha katika fani ya sheria hapa nchini.
Kidole kipi tenaNchini nipo Mwifwa sijapotea ila mfungo wa Ramadhani umenibana
Tena ungebanwa vidole viwiliKidole kipi tena
Viwili viwili viliingizwa kwenye safina ya NuhuTena ungebanwa vidole viwili
Viwili viwili viliingizwa kwenye safina ya Nuhu
Basi niwie radhi nadhani niseme ahsante nami nakutakia mlo mwemaNuhu nabii wa Mwwnyezi mungu?
We mtebetini, mbona mimi mwenyewe nipo kwenye swaumu halafu sijakimbia jukwaa.
Karibu tule daku basi
Mwema katika Dunia ya leo ni vigumu kumpataBasi niwie radhi nadhani niseme ahsante nami nakutakia mlo mwema
Kumpata nilimpata ila akaja mtu akamnyakuwa kwa ahadi ya ndoa ya mwendo kasiMwema katika Dunia ya leo ni vigumu kumpata
Kasi aliyoitumia haijakuacha salama kwa kweliKumpata nilimpata ila akaja mtu akamnyakuwa kwa ahadi ya ndoa ya mwendo kasi
Kumpata na kukosa yote majaliwa ya Mwenyezi Mungu ndiyo utoajiMwema katika Dunia ya leo ni vigumu kumpata