Hapa mi mwenyewe naufanya kama wewe. Vizuri sana nilitaka kujua tu bwana.Ujenzi naufanya kwa kunyapia nyapia.
Hahahahaahaaaa, kwa nini umefikiria hivyo emmyta, naona unanitumbua kisiri siri hapa
Bwana yule jana alinikera sana, leo naona bado hajaja humu.Hapa mi mwenyewe naufanya kama wewe. Vizuri sana nilitaka kujua tu bwana.
Humu usiwafuatilie mana wengine wanakera mpaka basiBwana yule jana alinikera sana, leo naona bado hajaja humu.
Basi usiwe na hasira dada usimpe nafasi shetaniHumu usiwafuatilie mana wengine wanakera mpaka basi
Shetani anacheza na nafsi zetu, tuwe makini asiweze kutupotezaBasi usiwe na hasira dada usimpe nafasi shetani
Kutupoteza ni kazi nyepesi mnoShetani anacheza na nafsi zetu, tuwe makini aisweze kutupoteza
Mno hasa ukiwa na nafc yenye tamaaKutupoteza ni kazi nyepesi mno
Tamaa mbaya sanaMno hasa ukiwa na nafc yenye tamaa
Sana sana ukiwa unapenda vitu vya haraka..Tamaa mbaya sana
Haraka haraka haina barakaSana sana ukiwa unapenda vitu vya haraka..
Baraka, hutoka kwa mwenyez MunguHaraka haraka haina baraka
Mwenyezi mungu ndiye muweza wa yoteBaraka, hutoka kwa mwenyez Mungu
Yote ni majaliwa ya MunguMwenyezi mungu ndiye muweza wa yote
Mungu ni muweza wa yoteYote ni majaliwa ya Mungu
Yote yawezekana uki muaminiMungu ni muweza wa yote
Yawezekana nliosikia ni ukweli mtupuMuamini tu dingimtoto yote yawezekana....!
Mtupu hauna hata kituYawezekana nliosikia ni ukweli mtupu
Kitu gan kinaendelea huko pwaniMtupu hauna hata kitu