Sahihi nahisi itakua swaum tu sababu kwenye quran inatamkikwa swaum doh najua siku zote ni swala hili la suala ndio wanambia leo
Leo umefungua darasa la Kiswahili. Hata mimi najua ni swala lakini ndugu zetu Wazenj hawatumii swala wao ni suala tu.
Humu ni zaidi ya shule maana tunakutana wengi tukiwa na maarifa tofauti tofautBAK aliwahi kuandika humu kwamba Jamii Forums ni shule ya aina yake, tunajifunza mengi sana humu.
Tu hii nayo tunaitumia sana kushangaa au alma ya mshangao
Humu ni zaidi ya shule maana tunakutana wengi tukiwa na maarifa tofauti tofaut
Tena nimekumbuka yuko wapi muanzilishi wa huu uzi usio na mwisho?Nawe uko vizuri katika huu uzi, umeniweza leo. Kila nikidhani nimeshinda basi unaibuka tena!
Hatuyajui yajayo lakini tuna imani nayoTofauti tofauti hiyo katika shule yetu hii ndiyo inatufanya wengi tujifunze yale ambayo tulikuwa hatuyajui.
Hatuyajui yajayo lakini tuna imani nayo
Nayo yajayo ni ya kuyaombea tu kwa Mwenyezi Mungu ili yawe ya heri na baraka.
Baraka za wazazi husaidia watoto wao kua na msikizano mazuri kwenye famikia zao, nalala sasaa
Daku hahhaha sidhani kama nitaweza kuamka asanteee na wewe pia ndugu yangu ulale unonoSasa naona umeamua kuaga hahahahaha nilikuona umeanza kusinzia kitambo. Ulale unono na njozi njema na usisahau kuamka kula daku.
Ulale unono ndio unalalaje mkuu samahani lakiniDaku hahhaha sidhani kama nitaweza kuamka asanteee na wewe pia ndugu yangu ulale unono
Ulale unono ila usisahau kulike post yanguDaku hahhaha sidhani kama nitaweza kuamka asanteee na wewe pia ndugu yangu ulale unono
Yangu hamjailike, nawaona tu na ubaguzi mlionaoUlale unono ila usisahau kulike post yangu
Mlionao ni mchele wa shinyanga au kyela?Yangu hamjailike, nawaona tu na ubaguzi mlionao