Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 51,117
- 122,526
Mwanasiasa moja ya sifa yake ni kuwa muongoBashite tu ndo aloweza kubaki kati ya wenye vyeti feki, kisa tuu ni mwanasiasa
Mwanasiasa moja ya sifa yake ni kuwa muongoBashite tu ndo aloweza kubaki kati ya wenye vyeti feki, kisa tuu ni mwanasiasa
mwanasiasa anatakiwa ajue kusoma na kuandika tuBashite tu ndo aloweza kubaki kati ya wenye vyeti feki, kisa tuu ni mwanasiasa
Kuwa muongo ni dhambiMwanasiasa moja ya sifa yake ni kuwa muongo
Kuandika tu hiyo ni sifa dhaifumwanasiasa anatakiwa ajue kusoma na kuandika tu
Dhambi hawaikumbuki wanakumbuka matumbo yao pekee.Kuwa muongo ni dhambi
dhambi kubwa kuliko kuchepukaKuwa muongo ni dhambi
Pekee siwezi waamini wanasiasa kamweDhambi hawaikumbuki wanakumbuka matumbo yao pekee.
Kamwe usiwaamini mana utapata presha burePekee siwezi waamini wanasiasa kamwe
Bure inauaKamwe usiwaamini mana utapata presha bure
Inaua ila ni wachache wanaojuaBure inaua
Wanaojua umuhimu wa utu wao ni wachacheInaua ila ni wachache wanaojua
Wachache sana ila siku zinavyozidi kuenda wataongezeka hata kama kidogo kidogoWanaojua umuhimu wa utu wao ni wachache
Kidogo kidogo naanza kumsahau Daby humu uzini yuko wapi DabyWachache sana ila siku zinavyozidi kuenda wataongezeka hata kama kidogo kidogo
Bure mnahangaika kumtafuta Daby mm pekee ndie ninaejua alipo
Alipo unapajua kweliBure mnahangaika kumtafuta Daby mm pekee ndie ninaejua alipo
au unataka kuwa kama yule aliyenidanganya cha uongo.Uongo ni sifa kwa mwanamke, Daby kaekwa ndani na toto la kitanga, nguo zote zimefuliwa na mvua hii hazijakauka mpk leoAlipo unapajua kweli![]()
au unataka kuwa yule cha uongo.
Leo ndio nimejua kumbe mahaba ya hivyo bado yapo mi najua yashakwisha zamaniUongo ni sifa kwa mwanamke, Daby kaekwa ndani na toto la kitanga, nguo zote zimefuliwa na mvua hii hazijakauka mpk leo
Zamani ilikua raha, hadi kuoga babu alikua akiogeshwa na bibiLeo ndio nimejua kumbe mahaba ya hivyo bado yapo mi najua yashakwisha zamani
Na bibi naye alikuwa hawezi kula mpaka babu awepo.Zamani ilikua raha, hadi kuoga babu alikua akiogeshwa na bibi