chuma cha mjerumani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 12,180
- 25,418
Moyo wa mwanamke ni kama bahari yenye kina kirefu sana hivyo basi imemeza mambo mengi na imejaa siri nyingi piaMengi ambayo yanaumiza moyo
Damu nzito kuliko majimoyo kazi yake nikusukuma damu
Tanzania mji mkuu wake ni dodoma..maji yamekuwa tatizo tanzania
Kwenda au kufika kama kutembea wasiliana na Mgogoone atakupokeaDodoma sjawahi kwenda
Atakupokea endapo utawahiKwenda au kufika kama kutembea wasiliana na Mgogoone atakuwa atakupokea
Niende wapi wakati sipajuiAtakupokea iwapo utaanza kwenda ww,mm hanijui atanipokeaje?nasubiri nipate mwenyeji ili niende
Sipajui mm piaNiende wapi wakati sipajui
Pia ukielekezwa utapajuaSipajui mm pia
Jana mkaniacha mimi. Sio vizuri hivyo mjue.Utapajua pale tulipoenda jana?
Jana mimi sikuenda! Labda umesahau mtu uliyeenda nayeUtapajua pale tulipoenda jana?
Sisi leo hatuendi huko!!Naye alisema anataka kufatana na sisi