Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,718
- 126,564
Imelegea kama mlevi wa It's kill timekidedea ni kanyimbo kazamani sijui kama mnakakumbuka eeh kidedea chupi yako imelegea
Imelegea kama mlevi wa It's kill timekidedea ni kanyimbo kazamani sijui kama mnakakumbuka eeh kidedea chupi yako imelegea
Imelegea kama mlevi wa It's kill time
Pliiz usifanye uchafu katika mgongo wa ardhi!time hii na hii baridi inabidi nitafute mdada. mdada alie bored mda huu akuje pliiz
Pliiz usifanye uchafu katika mgongo wa ardhi!
Wote tumekunywa uji wa mhogo, kwa kitafuno cha ugali.ardhi itatufukia binadamu wote
Wote tumekunywa uji wa mhogo, kwa kitafuno cha ugali.
Sana unapenda ugali, mboga ikiwa uji.Ugali napenda sana
Sana kwa mlenda na maziwa, hapo utanitoa kwa gredaUgali napenda sana
Greda itumike kwa vitu vingine, sio wakomalia ugali.Sana kwa mlenda na maziwa, hapo utanitoa kwa greda
Nini kinaendelea hapa???Greda ni gari kubwa au ni nini
Nini unachouliza? Ina maana hulijui greda linalobomoa nyumba za watu hapa mjiniGreda ni gari kubwa au ni nini
Greda ni gari kubwa au ni nini
Hapa wa mwisho ndio mshindiNini kinaendelea hapa???
Nini unachouliza? Ina maana hulijui greda linalobomoa nyumba za watu hapa mjini
Mshindi ni Mimi, acheni kuhangaikaHapa wa mwisho ndio mshindi
Hapa nilipo nasubiri kukabidhiwa tuzoKuhangaika bure wakati mshindi nipo hapa
Kuhangaika kupi? ni mpambano wa kukutoa hapo kwenye ushindiMshindi ni Mimi, acheni kuhangaika