Arabian queen
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 2,557
- 4,825
Mgumu ndio,ila subra inamalipo yake piaMwanzo mgumu
Mgumu ndio,ila subra inamalipo yake piaMwanzo mgumu
Pia tusisahau mwanzo mgumu lkn utamu uko mbeleMgumu ndio,ila subra inamalipo yake pia
Mbele ndio penye mafanikio,muhimu uvumilivuPia tusisahau mwanzo mgumu lkn utamu uko mbele
Mbele ndio penye mafanikio,muhimu uvumilivu
jiko lako limelowana alafu unaniambia nikusaidie kupikauvumilivu umenishinda inabidi nivute jiko
huu mbona ni ukatiliMawazo ya wananchi ni ya msingilock haitoki bar ladba upunguze mawazo
Msingi wa maendeleo ni uzalendo,uwajibikaji na kuepuka siasa mchwara..Mawazo ya wananchi ni ya msingi
Mchwara au uchwaraMsingi wa maendeleo ni uzalendo,uwajibikaji na kuepuka siasa mchwara..
Uchwara nadhani ndivyo alivyokusudiaMchwara au uchwara
Alivyokusudia iwe ndio hivyo hivyo imekuwaUchwara nadhani ndivyo alivyokusudia
Imekua fashion sku iz kutembea nusu utupuAlivyokusudia iwe ndio hivyo hivyo imekuwa
Utupu haswa na hii ndio imesababisha vitendo vya udhalilishaji vimekuwa vingi.Imekua fashion sku iz kutembea nusu utupu
Vingi sana pombe pia inachangia haya mambo yatokeeUtupu haswa na hii ndio imesababisha vitendo vya udhalilishaji vimekuwa vingi.
Yatokee yote ila sio mafuriko kama ya mwaka uleVingi sana pombe pia inachangia haya mambo yatokee
Ule ulikua mwaka wa shetaniYatokee yote ila sio mafuriko kama ya mwaka ule
Shetani siku zote hapendi mambo yaliyo memaUle ulikua mwaka wa shetani
Mema uyatendayo kwa watu usitarajie malipoShetani siku zote hapendi mambo yaliyo mema
Malipo ya ubaya siku zote ni hapa hapa duniani.Mema uyatendayo kwa watu usitarajie malipo
Malipo ya ubaya siku zote ni hapa hapa duniani.
Mengi ambayo yanaumiza moyoduniani kuna maajabu mengi