Wahusika waliokula rambirambi mungu anawaonaUnavyoendelea mchezo, naanza kupata mashaka.
Umeingiliwa mchezo, na wasiojua sheria.
wapendao ushindi wa dezo, kila kitu wakiuka.
Tukumbushane vigezo, sisi wote wahusika.
Wahusika ni mimi wewe na wengineo,katika jukwaa hili
Wahusika waliokula rambirambi mungu anawaona
Lambilambi au rambirambi? Umeniacha njia panda Malenga wangu ZakumiHili Jukwaa la Mungu, Anawaona walao lambilambi.
Lambilambi au rambirambi? Umeniacha njia panda Malenga wangu Zakumi
Rambi rambi za wale watoto waliopata ajali hivi juzi juzi zimechakachuliwaZakumi Jina langu, naomba nieleweke.
Mimi sio mkurya, situmihi rambi rambi.
Zimechakachuliwa au zimepelekwa Hazina?Rambi rambi za wale watoto waliopata ajali hivi juzi juzi zimechakachuliwa
Hazina wapi wizi mtupuZimechakachuliwa au zimepelekwa Hazina?
Mtupu!!! Ndivyo alivyoushangaa mkoba wake na kuubwaga chini pwaaa...!!! na kuanza kulia kwa uchungu, akishindwa kuamini kilichotokea.Hazina wapi wizi mtupu
Kilichotokea siku hile, ni kisa sitasahu.Mtupu!!! Ndivyo alivyoushangaa mkoba wake na kuubwaga chini pwaaa...!!! na kuanza kulia kwa uchungu, akishindwa kuamini kilichotokea.
Sitosahau ulivyoaga, kuwa umeshindwa mchezo.Kilichotokea juzi mlimani sitosahau
Dezo sinaga mm Zakumi,uko vizuri ktk mistari
Chenga za msuva sio za nchi hii. Hamjambo lakini Arabian queen, Zakumi jakitoo, thatsit alibakari , Mwifwa , dingi mtoto, chuma cha mjerumani na wengineo wengi wazima?Mistari nachomekea, lugha inanipiga chenga.
Wazimaa sijui ww mpendwaChenga za msuva sio za nchi hii. Hamjambo lakini Arabian queen, Zakumi jakitoo, thatsit alibakari , Mwifwa , dingi mtoto, chuma cha mjerumani na wengineo wengi wazima?
Wewe mpendwa nilikumiss acha. Haya za huko?Wazimaa sijui ww mpendwa
Huko uliko kwanza hawajambo,mimi je nlikumisijeee[emoji1] ,huku wote wazima twashukuru.hili jukwaa vp mshindi hajatokea bado naona kama hamna daliliWewe mpendwa nilikumiss acha. Haya za huko?
Hamna dalili my. Ila usijali kumekucha salama.Huko uliko kwanza hawajambo,mimi je nlikumisijeee[emoji1] ,huku wote wazima twashukuru.hili jukwaa vp mshindi hajatokea bado naona kama hamna dalili
Hamna dalili my. Ila usijali kumekucha salama.
Karibuni huku jamani chuma cha mjerumani katukaribisha. Hatujambo huku sijui huko.salama hapa jamani mko vizuri? wale ambao hamjanywa chai karibuni