Hapa nilipo ninahisi usingiziLetu ni tegemeo, hilo unasema hapa.
Ukibaki peke yako, miujiza wahitafuta.
Kwa waganga utafika, kikombe kukitafuta.
Tambiko utafanyiwa, hili ngekewa umpate.
Wabongo kwa kupenda miujiza, Mungu sio tegemeo lenu.
Usingizi utaupata ukipanda kitandaniHapa nilipo ninahisi usingizi
Kitandani kina baridi sanaUsingizi utaupata ukipanda kitandani
Baridi sana, njoo huku kuna jotro la kufa mtuKitandani kina baridi sana
Mtu huyo atakuja vipi huko nawe ushamtishia kifoBaridi sana, njoo huku kuna jotro la kufa mtu
Kifo kipo na wala hakikwepekiMtu huyo atakuja vipi huko nawe ushamtishia kifo
Hakikwepeki lazima wote tutakionjaKifo kipo na wala hakikwepeki
Tutakionja, kwa hakika ni lazimaHakikwepeki lazima wote tutakionja
Lazima kila aliyeonja uhai lazima aonje na umauti.Tutakionja, kwa hakika ni lazima
Umauti ni ile hali ya roho na mwili kuachanaLazima kila aliyeonja uhai lazima aonje na umauti.
Wenyewe hawajitambuiInawachanganya vp wakati jenereta waliifungua wenyewe
Hawajitambui kweli(fisi em) ndomaana waliwaambia wenzao(ukawa) watakufa kwa ajali bila kutambua na wao watakuwa kwenye basi analoendesha dereva yuleyule(kufuli)Wenyewe hawajitambui
Hawajitambui kwa sababu wana utashi mdogo wa kupambanua mambo.Wenyewe hawajitambui
Vizuri sana hapa mjini, joto limepungua na hii mvua inayoendelea kumwaga majiMambo ya wiki hii yameniendea vizuri
Nile river ni mto mrefu kuliko yote barani AfrikaMaji ya ziwa Viktoria yanamwagwa mto Nile
Duniani ni sehemu yenye uhai kati ya sayari 9 katika mfumo wa jua.Afrika ni bara lenye kila kitu kilochopo duniani