Wa mwisho ndiyo mshindi

Vilemba ndio basi na wewe nikusalimie hujambo lakini?
Hujambo lakini, wauliza kwa kuchomekea au kunijulia afya?

Afya yangu safi sana, mimi Zakumi nadunda.

Shikamoo zenu sitaki, mimi si mzee sana.

Shikamoo mkinipa sana, mtaninyima matunda.
 
Hujambo lakini, wauliza kwa kuchomekea au kunijulia afya?

Afya yangu safi sana, mimi Zakumi nadunda.

Shikamoo zenu sitaki, mimi si mzee sana.

Shikamoo mkinipa sana, mtaninyima matunda.

Matunda yapo tu zakumi hata tukikunyima sisi wapo watakaokupa.

Hivyo pokea tu shikamoo yangu.
 
Mwenzetu ulisikia wapi tunda linaliwa kwa kulamba lamba? Ili ufurahie utamu wa tunda ni lazima ulitafune kwa meno tena unalitafuna taratibu kwa raha zako.
 
Mwenzetu ulisikia wapi tunda linaliwa kwa kulamba lamba? Ili ufurahie utamu wa tunda ni lazima ulitafune kwa meno tena unalitafuna taratibu kwa raha zako.
Raha zako si zangu, kaka tukubaliane.

Tunda nakula kwa mrija, Mungu aliniobakia.

Mrija wangu si kichwa cha paka, kibamia nimebalikiwa.

Kulambalamba siwezi, kibamia nitakitumia.

Matunda yanashamili karibu na choo, ulimi na meno sipeleki.

Niiteni mzee wa shamba, bakteria wa chooni siwawezi.
 
Siwawezi duh mmefika hapa,mbona sio mbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…