Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,961
- 80,240
Nakosea kupita kwenye pm za watu bila taarifaTena leo naumwa msinilaumu bure ndo maana nakosea
Nakosea kupita kwenye pm za watu bila taarifaTena leo naumwa msinilaumu bure ndo maana nakosea
Taarifa gani tena ,hata pole unashindwa kunipa jamani[emoji20]Nakosea kupita kwenye pm za watu bila taarifa
Jamani[emoji45] hata sijakaa vizuri. Haya poleTaarifa gani tena ,hata pole unashindwa kunipa jamani[emoji20]
Pole mpk nkuombe jamani mhh staki tena[emoji45]Jamani[emoji45] hata sijakaa vizuri. Haya pole
[emoji52] taka bwana nitakununulia mkate wa sunkist au pipi jojoPole mpk nkuombe jamani mhh staki tena[emoji45]
Pipi jojo tena[emoji17] mie nmenuna,staki kitu[emoji52] taka bwana nitakununulia mkate wa sunkist au pipi jojo
Kitu ambacho unapaswa uelewe wewe huwezi kuninunia hata kwa dawaPipi jojo tena[emoji17] mie nmenuna,staki kitu
Dawa ya nn tena,leo naumwa[emoji17][emoji20]haya ngj nije kuchukua pipi jojo ukoKitu ambacho unapaswa uelewe wewe huwezi kuninunia hata kwa dawa
Uko kwenu vipi maana huku kwetu safi hatuna shida na mtuDawa ya nn tena,leo naumwa[emoji17][emoji20]haya ngj nije kuchukua pipi jojo uko
Mtu wa kwanza kufatana nae pharmacy ni ZZ,huku kwetu ni shwari tu kila kitu kipo safiUko kwenu vipi maana huku kwetu safi hatuna shida na mtu
Safi saana kumbe zz mnafahamiana eeehMtu wa kwanza kufatana nae pharmacy ni ZZ,huku kwetu ni shwari tu kila kitu kipo safi
eehh si ndo meneja wa ile pharmacySafi saana kumbe zz mnafahamiana eeeh
Pharmacy nyingi Tanzania zinawahudumu wa mwendokasi bisha uone nitakachokufanyaeehh si ndo meneja wa ile pharmacy
Nitakachokufanya ni kuja kuthibitisha kama ninkweli unayosemaPharmacy nyingi Tanzania zinawahudumu wa mwendokasi bisha uone nitakachokufanya
Unayosema yana kajiukweli kiasi chake,,maana hata wamasai siku hizi nao wana vibamiaNitakachokufanya ni kuja kuthibitisha kama ninkweli unayosema
Vibamia vimetokea wapi tena[emoji23] [emoji23]Unayosema yana kajiukweli kiasi chake,,maana hata wamasai siku hizi nao wana vibamia
Unayosema yana kajiukweli kiasi chake,,maana hata wamasai siku hizi nao wana vibamia
Tena kwenye kumtafuta mshindi, kama mchezo umebadilika mi simo.Vibamia vimetokea wapi tena[emoji23] [emoji23]
Simo lkn pia nimo niko nusu nusu,kwann ujitoeTena kwenye kumtafuta mshindi, kama mchezo umebadilika mi simo.
Ujitoe ili uwe huru katika utawala huu wenye udhalilishajiSimo lkn pia nimo niko nusu nusu,kwann ujitoe
Udhalilishaji wa kijinsia sio mzuriUjitoe ili uwe huru katika utawala huu wenye udhalilishaji