Wa mwisho ndiyo mshindi

Karibu hukaribishwi, kwenye viwanja vya mamantilie.
Hukaribishwi tonge la ugali, hata mboga ya mabamia.
Ukita mlo wa dezo, watu watakuparamia.
Watakuparamia Zakumi Kwa mashairi yako murwa.
Kaka Mtebetini poleni sana Na msiba Mola aipumzishe Roho yake peponi.hiyo njia lazima tupite.ZZ unanitamanisha Na visheti Na halua za Tanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…